ingawa ni kawaida kwa Beyonce kusafiri katika ile tour yake iitwayo Mrs. Carter
Show world tour ,na kufikia mahotel ya gharama saana ila hii ilikuwa ni kubwa kulik.
Alipokuwa ametembelea Nchini Brazil hivi karibuni aliamua kukodisha hilo jumba lenye vyumba 18,kwa ajili ya kupumzika yeye pamoja na wahusika alioenda nao kwenye tour hiyo nchini humo.hela inaongea au unabisha??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment