watoto hao wa wenye umri wa miaka 14,ambao ni watoto wa madon kutoka Cash Money Records co-founder Bryan Birdman Williams aka Baby na Grammy Award-winning rap superstar Dwayne Lil Wayne Carter, waliweza kuachia kitabu chao kinachokwenda kwa jina la "PAPARAZZI PRINCESSES"ndani ya hicho kitabu utaweza kusikia historia ya maisha yao kwa ujumla na kila kitu wao wakiwa kama watoto wa mastar wakubwa duniani wa muziki na jinsi wanavyoweza kudil na paparazi and all that stuff as u kwn ...so its all about money money..
aww warembooooooooooooooo aje?
so kitabu kilitoka mwezi 4 mwaka huu na kwa sasa kipo sokoni..kinafanya poa saana
na haya ni maneno ambayo aliyasema baba wa kila mmoja juu ya kazi hiii waliyoifanya watoto wao soma hapa chini.
Lil Wayne “I’ve got to be honest. It’s inspiring to see what these girls have done. It wasn’t easy, and they did it all by themselves. ‘Proud’ doesn’t even begin to describe how me and the ‘Birdman’ feel. I can’t wait for everybody else to experience their story. ..hayo ni maneno ya baba yake ..Reginae Carter....
na
Birdman “There’s no better feeling than watching Bria and Reginae make this dream come true. They took an idea, worked extremely hard, and brought it to life. It’s the kind of story that everybody can feel, and it’s only the start of much bigger things for these two wonderful young ladies.”huyo ni baba yake na Bria Williams.
No comments:
Post a Comment