everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Wednesday, July 31, 2013

New hair do ya  GABRIELLE MONIQUE UNION well knws Gabrielle  .

Mwigizaji  na mwanamitindo wa Nchini Marekani ambaye alizaliwa october29,1972 wengi tumemuona kwenye movie kadhaa ambazo ni kubwa na maarufu Duniani kama vile Good Deeds ,Think Like a Man  nyinginezo kibao so kwa muda woote since mwaka 1999 alikuwa na aina moja tu ya Rangi za nywele zake ambayo ni nyeusi so this year aliamua kuchange so ndo huyu hapa muangalie .


 
aww she looks so nice so good..... kubadilika ni kuzuri  maana unabadilisha kila kitu yaani .
 

 angalia hapo tofauti ni nywele tu ila angalia anavyoonekana mpya  kumbe one thing tu Hair .
 

dats smileeeeeeee
 


 

 
huyu hapa ndo alikuwa GABRIELLE  wa Enzi ziiileee japo alikuwa akionekana good but usifanye watu wakuzoee kuwa ukiona hivi ujue nanihii anakuja looooh 
 
I love the Hair do and rangi zake pia.
 
 


No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates