everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Wednesday, August 21, 2013

Monica And Shannon Brown wanatarajia kupata mtoto wa kike.

wapenzi ambao waliweza kukutana na kupendana mara baaada ya kukutana kwenye kufanya video ya wimbo wa Monica uitwao 'LOVE ALL OVER ME" na wakaoana na kwa sasa ni muda wapo pamoja ingawa Monica anawatoto wa kiume 2,aliozaa na mwanaume ambaye alikuwa naye hapo awali,na huku mumewe huyo wa sasa Shannon Brown akiwa ana motto mmoja na yeye ambaye alizaa na mwanamke mwingine,

Monica anategemea kujifungua motto wa kike kwa mujibu wa dokta wake,soo ni furaha iliyoje kwani kila mmoja wao alikuwa ana watoto wa kiume sasa wanamsubiria kwa hamu kubwa saana motto huyo wa kike ambaye mwezi ujao ndo anakuja na hizi ni baadhi ya picha ambazo azinamuonyesha Monica na mumewe akiwa na Tumbo lake  enjoy.


MONICA AND SHANNON ambaye ni mcheza kikapu.

monica akiwa na mwanaye ambao alizaa before hajaolewa na Shannon aww wanamsikilizia dada yao ambaye mwenzi ujao anakuja so sweety



                                           Many blessings to the happy family!

No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates