nimeona picha hii ya mwanadada huyo ambaye ni model a muigizaji alitupia hiki kivazi alipendeza saana ila kuna kitu unaweza kuwa hujagundua ni kidoogo saaana ila mm nimekiona na sidhani kama hapa Bongo vinapatikana.
Carmen Electra ndio jina lake akiwa na umri wa miaka 41 akiwa kwenye red carpet iliyoitwa Do Something Awards iliyofanyika huko Hollywood 2013.
rangi nzuri na hata stail yake pia saaana alipendeza kiukweli
ni mburuzooooooooo wa maana awww.
sasa ukiangalia hi picha kwa haraka unaweza kusema kuwa ni mgongo waziiiii yaani hajavaa kitu hata jibu ni hapana kuna kitu ambacho kinafanana na ngozi ya mwili wake ndio amekivaa hpo kwa ndani ambacho ndo kinaenda hadi kwenye boobs kwa ajili ya kuzibust zilete shoo so kitu kama kiless flani hivi ambacho amevaa nadhani ukiangalia kwa makini utakuwa umeelewa..hapo juu ya nisemacho...!
ok byeeeee
No comments:
Post a Comment