Diddy, Erykah Badu, La La Anthony, Miguel na wengine kibao hizi hapa ni baadhi ya picha za usiku wa uzinduzi wa albamu hiyo kwa sasa ipo sokoni na inategemewa kufanya poa saana .
Janelle ni mwanadada ambaye yeye alikuja na stail yake ya kimavazi ambapo aliamua kurudisha zile nguo za zamani kwenye chati na kuzi pimp kasha kuonekana swag..kama umegundua na kumfuatilia kwa undani zaidi utagundua kuwa nguo nyingi anazoyupia ni zilee za 90' na kushuka chini ila sasa look at her look?she always lookin so good and classic...
No comments:
Post a Comment