Ronaldinho atumia kiasi cha Pauni 36,000 kurekebisha Meno yake.
mchezaji wa nchini Brazili mwenye umri wa miaka 33 ,Ronaldinho aamua kurekebisha meno yake ambayo hapo awali alionekana yamekaa vibaya so habari iliyopo ndo hiyo na kwa mujibu wake yye amesema"najisikia poa na furaha kwani hii ni ukurasa mpya wa maisha yangu na kila kitu ni kipya sasa kwangu "
hapo ni baada ya upasuaji WOW..ni mzuri saaana yaani i gree ni the new boy in town..
na hapa ni wakati hajafanyiwa upasuaji wa meno yake....still alikuwa mzuri so congrats kwa uamuzi
HII HAPA NI VIDEO AMBAYO INAONYESHA BAADA NA YA UPASUAJI WA KUREKEBISHA MENO YAKE.
No comments:
Post a Comment