mwanamke ambaye alizaa mtoto ambaye amezidi kuleta historia zaidi ndani ya familia ya kifalme nchini Uingereza Kate, Ambaye hivi karibuni alipoenda kutembelea kituo kimoja nchini humo kwa ajili ya kutembelea na kuwasabahi hali ilisoyakawaida ya hewa yenye upepo iliweza kupa tabu sana mwanadada huyu kutokana na nguo aliyovaa,na pia inasemekana tukio kama hilo liliwahi kumtokea Princess Diana na kuweza kupeperushiwasketi yake naupepo wakati akiwa anashuka kwenye ndege,na hata mwenyewe Malkia Elizabeth iliwahi kumtokea upepo kumsumbua akiwa anashuka kwenye moja ya gari wakati wa msafara wake
zifuatazo ni baadhi ya picha ambazo zinawaonyesha wote tukio moja ila mahali tofauti na wakati pia hizi hapa...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








No comments:
Post a Comment