everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Wednesday, June 19, 2013

DJ WA STAR WA MUZIKI WA R&B CHRIS BROWN ,DJ BABY DREW ACHEZA NJE YA UHUSIANO WAKE NA KUPATA BABY GIRL WITH SINGER GILS KWNS AUTHUMN NOELLE ALL THE WAY FROM  ATLANTA .


..yeah here is A new Chick of Dj Bbey ... her  name is AUTHUMN NOELLE as u see her she so happy with her baby ambaye amezaa na DJ Baby Drew .....




well anafahamika kwa jina la Dj Baby Drew ambay ndo Djofficial wa Chris Brown ambaye aliwahi kutua hapa Bongo na kupiga sho kali ndani ya Ambasadaz lounge ,wengi wanafamu kuwa ana mwanamke mmoja na mtoto mmoja kumbe siri imevuja baada ya mwandada huyu kuweka pic hiyo on instragm .na alipoulizwa juu ya hiyo DJ huyu alisema yes it strue kwamba amezaanaye kwani kuna tatizo?..





HAHAHHA tha Man him self    DJ Babey Drew
..amesema ameachana na first chick wake aliyezaa naye mtoto wa kiume  so nothing is wrong for him to have a new baby girl as well..halaa....
as u see dis lil boy  his name TRACI  ndo mtoto wa kwanza wa DJ BABY DREW ,na huyo pembeni ni tha new baby  girl to the family  she is cute as well.....



AWWW here is that First chick of Dj Babey Drew with her Son.....
jamani all of her  chicks their so CUTEEE.....



3 comments:

Anonymous said...

Awww sso good so nice to him ...ila kwaa mbelembele watu kuzaa na kuwa proudly of their kids sio bongo bongo wanawatelekezaga njaa kali kwan walivyokuwaa wanawapa mimba hawakujua Fuck them ..

Anonymous said...

Watoto wake wwoootw wazuri daaamn and his chicks. Also..nice blog Bond grl

Anonymous said...

Kidumeee kudaadeki kimetema vizuri saana hajawakataa

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates