everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Tuesday, November 5, 2013

Star wa movie ya Colombiana Zoe na Halle Berry wasema hivi "We're green with envy!..

Star wa Movie iliyofanya poa sana kote duniani ya "COLOMBIANA"mwanadada Zoe Saldana.. hivi karibuni alionyesha Pete yake ya uchumba ambayo alivalishwa na mchumba wake wa muda mrefu,kwani alikuwa akiificha ila juzi kati kwenye Red Carpet aliamua kujiachia nayo muone..wakati huohuo inasemekana kuwa pete aina kama hiyo ambayo ni inakuwaga maalum na inatengenezwa kutokana na utakavyo wewe,pia aliwahi kuvalishwa mwigizaji Nguli mwanamama kwa sasa si mwingine ni ..Halle Berry..... so hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonyesha pete hizo,,,,kwa wote wawili ....











No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates