everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Thursday, July 25, 2013

SELENA GOMES ATIMIZA MIAKA 21 ALIKULA BATA SANA ILA KWA SASA SHE IS BACK IN BUSINESS AKIWA NDANI YA JIJI LA  NEW YORK. KWA AJILI YA KUTANGAZA ALBAMU YAKE.


aliyewahi kuwa mpenzi wa Justine B,Selena Gomez kwa wiki hii alitimmiza miaka 21,na kisha akaamua kutia nanga ndani ya New York kwa ajili ya kuitangaza albamu yake mpya iitwayo Stars Dance, lakini licha ya kuwa mji huo pia aliamua kuonana na mashabiki wake wa huko kwa kutoka nje ya Hotel yake na kupiga nao picha,story 2,3 na hata kuwasainia mashabiki hiiyote ni katika kushow some love to them...well done SELENA.



hapo akiwa nje na mashabiki wakiwa wamemzunguka wengi wao ni  umri wake yaani wanampenda saaana coz kila msanii na rika la wafuasi wake  ila kwa selena ndo hao .



kamependeza saana jamani simple but nice look at her jeans and that blazer aww.


 alipata fursa ya kuwaimbia kidogooo mistari miwili mitatu...ya bure ili awape raha kidogo


look at  her shoes!!..OMG.....


                                    and hersmileeeee  kuuubwa kwa mashabiki wake awww so niceeeeeeeeee.


alipata nafasi ya kufanya mahojiano na mtangazji mmoja huko NY city kama kawaida ilikuwa ya wazi na mashabiki wakiangalia kwa makini na kuuliza maswali juu ya albamu yake pia.



SELENA GOMEZ akiweka pozi kwa ajli ya kupiga picha na mmoja kati ya fans wake ambae alifurahi saana 


No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates