HAPPY BIRTHDAY MADIBA....NELSON MANDELA KWA KUTIMIZA MIAKA 95.
japo ni furaha kubwa sana kwa Nchini ya Africa ya Kusini na duniani kwa ujumla wanasherekea na kushangilia tarehe ya kuzaliwa kwa VIVA LA AFRICA AU TATA MADIBA hii leo lakini tofauti ni kwamba yupo hospital bado ila Dunia inafurahia na kushangilia na kumuombea kwa mungu arejee katika hali yake ya kawaida.
SHUPAVU,JASIRI,KAMANDA,MPIGANAJI WA HAKI ALIHAKIKISHA AFRICA YA KUSINI INAKUWA HURU NA AMANI PIA HONERA SAANA NELSON MANDELA KWA YOTE ULIYOIFANYIA AFRICA KILA LA KHERI TUNAKUTAKIA.
Thursday, July 18, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
Yap, happy birthday Tata Madiba, Mwenyezi Mungu akupe Ahueni maana tusingependa kukupoteza kama tulivyompoteza Mwl,kwakuwa ninyi ni vielelezo vya Ukombozi wa Mwafrika we still need u to our lives
Yap, happy birthday Tata Madiba, Mwenyezi Mungu akupe Ahueni maana tusingependa kukupoteza kama tulivyompoteza Mwl,kwakuwa ninyi ni vielelezo vya Ukombozi wa Mwafrika we still need u to our lives
Post a Comment