everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Wednesday, August 27, 2014

Karrueche Tran awaambia Beyonce$Jay Z hawajui kumchana nywele Blue Ivy.

katika hali iliyowashangaz wengi duniani ni kuwa mwanadada ambaye amepata bahatai ya kupendwa na mR$B singer Christ Brown BAADA YA KUMPIGA KIBUTI Rihana,na kukaa nafasi hiyo na huku wakionekana wanafuraha na hakuna kitakacho watenganisha hata...

 Ila kikubwa ni kuwa ni siku ya jana mwanadada huyu  mrembo  alipokuwa kwenye kipindi cha 106$Park aliweza kuulizwa swali na watangazaji wa kipindi hicho kuwa ni kitu gani ambacho angeweza kukiongea mtoto wa Beyonce yaani Blue Ivy..ile siku ya kupokea tuzo mama yake yani beyonce zile tuzi za MTV VMA2014 je angesemaje??/.....ndipo Karrueche aliposema maneno haya yaani yeye alivaa uhusika  kama  ni Blue Ivy na kusema maneno haya 
“I really did wake up like this because my parents never comb my hair,”....

Ila maneno hayo alitamka kwa nia au lengo la Utani  tu na sivinginevyo na kisha akamalizia kwa kusema hivi 

 “Sorry Blue! I love you!” aliongeza kwa maneno hayo  girlfriend huyu wa Chris brown.....lakini baadhi ya watu ambao wamelipokea hili swala kwa mitazamo tofautu kabisaa na kuligeuza kuwa ni kama TUSI au Dharau kwa familia hii kubwa na ya kitajiri kwa upande wa wasanii duniani yaani  Beyonce and Jay Z.....!  duuh.

 Na bila kuchelewa wananchi walipoingia kwenye mtandao wa Twitter na kuanza kumshambulia mwanadada karrueche ...angalia baadhi ya Comment za wananchi wenye hasira kali LoL..

They said @karrueche plays every position on Chris Brown football side , main , quarterback, water girl

How Karrueche gonna throw shade at a toddler? You got nice hair and still get cheated on every 3 weeks.

hahahahhahhah hizi ni baadhi tu ya Cooment ambazo zilikuwa zinamuendea Karrueche moja kwa moja huku wakiwa wanamtag ili azione ..ila na yeye Karrueche alijibu kama ifuatavyo angalia hapa chini....

Now y'all know I LOVE me some Beyoncé and Blue Ivy! I didn't write this script y'all lol

  Karrueche Tran         @karrueche 
I am definitely team

Basi ndio ilivyokuwa kupitia mitandaoni mara baada ya tukio hili la utani kugeuka kuwa ni Noumerrrrrrrrrrr.....!

“I really did wake up like this because my parents never comb my hair,” - See more at: http://madamenoire.com/462770/karrueche-tran-catches-heat-for-blue-ivy-hair-joke/#sthash.2EZMbGBo.dpuf

“106 And Park”
“106 And Park”
During a recent “106 And Park” appearance, Karrueche Tran made a distasteful joke about Blue Ivy’s hair, which many took offense to. The joke came during a segment where the hosts highlighted the top six things Blue Ivy thought about at the MTV VMAs.
“I really did wake up like this because my parents never comb my hair,” Karrueche said.
“Sorry Blue! I love you!” she added.
- See more at: http://madamenoire.com/462770/karrueche-tran-catches-heat-for-blue-ivy-hair-joke/#sthash.2EZMbGBo.dpuf

No comments:

Sample text

Sample Text

Sample Text

Blogger Templates