everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Saturday, January 18, 2014

Unamkumbuka LISA JANSEN?aliyewahi kushiriki miss Tanzania 2006...

baada ya kushiriki mis Tanzania na kushika nafasi ya 3,mwaka 2006,baadae mrembo huyu  aliweza kujikita kwenye movie na kufanya filam kadhaa za kibongo kisha akawa video qeen ndani wa wimbo wa Diamond ule wa MAWAZO....
ila kwa sasa  ni mama flani,na mwanae ndo huyu hapa meet her withe her kid..nice...and hongera to her...pia......amezaa but she still looks cute..awww...!






No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates