everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Tuesday, February 25, 2014

Lupita Nyong'o akizidi Kupepeeeeaaa.... atikisa Anga la Obama ndani ya Red Carpet na kila kona magazeti,blogs,na kila kona Niceee Lupita.

kwa sasa ukingelea mtu mweusi ambaye anasumbua kichwa cha kila mtu kwa sasa juu ya Spidi yake hii kali ambayo inampatia chat kubwa,mkwanja na mengineyo...ila niseme huu ndo wakati wake kashakutana na mastar wengi saana ambao sisi huwa tunawaona   tu.....! daah Shikamoooooo Lupitaaaaa

katupia na yeye kiatu kama cha Rihana  Gold for 2014...Yes..!
hizi ni baadhi ya picha ambazo alipiga na mastaaar wa Duniani..!











No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates