everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Monday, September 23, 2013

BEYONCE ATEMBEA NA SOKSI HUKU AKIWA AMEMBEBA BLUE IVY.

Mwanadada ambaye kwa sasa anashikilia nafasi ya juu kabisa kwenye watu wanaomiliki mkwanja mkali na mrefuu na huku wakiwa wameingiza mijihelaa ya maana yeye na mumewe Jay Z kwa mwaka huu tu


Wikiendi hii alionekana amevalia poa kawaida kwa ajli ya safari ila huku mguuni akiwa ametupia soski  na sio kiatu na wala hana Habari na mtu..na ilikuwa  anaelekea  kuingia kwenye ndege yao binafsi tayari kwa ajili ya safari ya kuelekea Puerto Rico na huku akiwa amembeba mwanae kipenzi ambaye siku hadi siku zinavyizidi kuenda nio sura ya mtu mzima Jay Z inajisogeza taratiiiiiibu.....






MHow To Write A Script for a Documentary:
Final Thoughts

How to write a script? Of course, what looks great on paper does not always work great on the screen. Think of your script as a guide and be prepared to modify, slice and dice once the video editing process begins.
This is where those tape logs come in VERY HANDY. A quote or scene that you didn’t think was very important in the scriptwriting stage, will suddenly take on new importance once the editing begins.
So those are a few key points on how to write a script for documentary. Remember, with documentaries, there is no perfect formula. Just start writing and do what works for YOUR story.
Those are a few tips for how to write a script. How did you like this page? Comment below!
- See more at: http://www.desktop-documentaries.com/how-to-write-a-script.html#sthash.ybBqtlg8.dpuf

No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates