everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Tuesday, July 23, 2013

Ndoa za wasichana katika umri mdogo ni tatizo bado kwa Nchi ya YEMEN.

 katika kukuthibitishia hilo mtoto aitwaye  Nada Al -Ahdal mwenye umri wa miaka 11 atoroka kwao na kukimbia mara baada ya kulazimishwa kuolewa na Anko wake ambaye tayari alikuwa ameshapokea mahari  kwa ajili ku kumuoazesha binti huo akawe  kama mke wa mtu ,huku swala hilo lilionekana kupigwa vikali na mtoto huyu mwenye akili na upeo mkubwa katika maisha yake mskini angalia baadhi ya picha ambazo zina maneno ambayo alikuwa akiyasema binti huyu.



 



Don't they have any compassion?' I'm better off dead. I'd rather die.'

poor her anastahili pongezi na pia kanaonekana kana akili saana kwani alisema hivi"mimi sio mtoto wakuweza kuchezewa na kupotezewa ndoto zangu wala mipango ya maisha yangu,wameninyima elimu shule sikuenda,kisa walitaka ikitimia umri huu niolewe nimekimbia nyumbani na kamwe sintorudi kwani nimeshuhudia wenzangu walioolewa ila katika umri wangu ni kama vile walijitumbukiza baarini sasa wanateseka,na kuumia na pia wengine walikufa "
hata hivyo katoto hako kalisema kuwa hii ni sawa na uuwaji au kosa la jinai kwa mwanaume kuoa watoto wadogo alisema anataka ELIMU,MAISHA YA AMANI,NA KUTIMIZA NDOTO ZAKE NA SIO KUOLEWA alimalizia kwa kusema hivi.

'Go ahead and marry me off - I'll kill myself"

....baadhi ya mikoa na vijiji vya Africa pia inasemekana ndoa katika umri mdogo zinaendelea jamani Amkeni na muache mara moja mnapoteza maisha ya mabinti wenu na nguvu kazi ya Taifa pia ACHENI.

 


 

No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates