everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Monday, July 22, 2013

Ni habari Nzuri saana na zitatikisa Dunia kwa furaha inayotegemewa kutoka kwa Prince William's wife, Kate  in labor....

 

Price william na mkewe kate siku za hivi karibuni alipokuwa na ujauzito na hata kwa mbali unaweza kuona kitumbo kinaonekana.

well kwa habari zilizopo Duniani  kote  ni kwamba kwa sasa Bi dada huyo KATE  ambaye ni mke wa Prince William yupo katika chumba cha kujifungulia katika hospitali iitwayo
wing of a central London ,wengi ya wananchi na Dunia inategemea majina ya wawili hao kubadilishwa na kuitwa baba na mama .

 

 badhi ya askari ambao wakihakikisha ulinzi na usalam katika eneo hilo la Hospital ambayo ameingia KATE mrs william kwa ajili ya kujifungua kama kawaida ya nchi za wenzetu ulinzi ni kitu cha kwanza kuliko hata unavyodhani wewe.


hahah paparazi  kama kawaida yao waliamua kuweka kambi kabisa nje ya hospital hiyo kama unavyoona  hapo media mabalimbali zilijikita hapo kwa ajili ya kuhakikisha hawapitwi hata sekunde moja juu ya ujio wa mtoto huyo wa Price William.


kila la kheri tunasubiria kuona mtoto ambaye ataongeza familia ya kifalme na kitajiri ya Prince william..all the best to them.

No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates