hili ni Gari aina ya BMW ambalo lilikuwa limeegeshwa njiani eneo la wazi kabisa na kama unavyoona limegeuzwa kuwa swimming pool na lilijazwa maji na pembeni limewekewa nakshi za maua ya plastic .
ndipo polisi walipofika eneo hilo kwa ajili ya kuangalia kulikoni mbona gari lipo pekeake eneo la wazi hapo ..kufika walichokikuta ndo hicho hapo swimming pool la BMW.HALA
Na hao wameamua kupumzika chini ya Daraja huko Nchini CHINA mara baada ya kuchoka na jua na kazi za siku hiyo lakini hapo kama unavyoona magari yanapita kama kawaida coz ni njia ya magari na wao wakiwa wamepozi bila wasi wasi ...
No comments:
Post a Comment