watoto wapatao 22 wamepoteza maisha huko chini Indian na 25 kupata madhara kutokana na kula chakula chenye sumu ambacho hupikiwa na kupewa bure shuleni hapo kila siku lakini kuna makosa yalitokea na kufanya chakula hicho kuwa na sumu ambayo ilileta vilio na simanzi nchini India.
baadhi ya mwanafunzi kama wanavyoonekana hapo wakiwa hoi katika Hospital wakipatiwa huduma ya kwanza na matibabu mara baada ya kula chakula chenye sumu.
According to the government, nearly half of all Indian children suffer from malnutrition.
Although there have been occasional complaints about the quality of the food served, or the lack of hygiene, the tragedy in Bihar appeared to be the worst associated with the massive food program.
Bihar's top elected official, Chief Minister Nitish Kumar, has ordered an inquiry into the deaths.
No comments:
Post a Comment