Unaweza ukamuita on/off wa Chris Brown,anatambulika kwa jina la Karrueche mwenye umri wa miaka 25,kwa sasa ambaye ana tattoo ambayo kiukweli hakuna ambaye aliwahi kuchora ni ya kipekee aina ya Zipu as u see hapa kwenye hizi picha na aliamua kutupia kivazi hicho pindi alipokuwa akihudhuria kwenye Zing Vodka's Kandyland soiree in Beverly Hills
take a look.
on/off wakiwa pamoja LOL......
No comments:
Post a Comment