nimeamua tu kukumbusha alikotokea Kanye west kupitia picha hizi hapa na baadhi ya pozi zake since he was 13,enjoy.
hapo ilikuwa ni ni siku ya middle school graduation..


pozi la kanye sasa wakati ulimwengu unaanza kujua jua lol....

hapo ilikuwa ni mwaka 2007 akiwa na mama yake mzazi ambaye alimpoteza wakati akifanyia upasuaji ,licha ya kuwa mama mzazi lakini pia alikuwa ni meneja wake.
No comments:
Post a Comment