everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Wednesday, August 7, 2013

SEE OMOTOLA JALADE FAMILY

 
wengi tunamjua mwanamama huyu ambaye ni muigizaji  wa filam toka kule nchini Naigeria  na anafanya poa saana kwana kwa sasa anakipindi chake ambacho ni cha reality kinaruka kupitia DSTV  na kwa sasa mafanikio ni makubwa na mengi yanaonekana kutoka kwa Omotola Jalade wengi tunajua hilo.

lakin kwa upande wa pili wa maisha ya kila mwanadamau familia ni jambo la msingi saana ,kwa upande wa Omotola ni mama wa watoto 4,wakike 2 na wakiume 2,......ni raha iliyoje leo hii nimeamua kukuletea picha ya familia yake kuanzia mume wake na hao watoto wake hizi hapa baadhi ya picha za Familia ya OMOSEXY kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa Twitter.

 
 hapo ni Omotola mumewe Ekeinde Enzi zile watoto wao walivyokuwa wadogo.
 

 
na hapo watot hao 4 wa omotola wakiwa katika pozi zao.



 
hiii ni picha ambayo familia imekamilika kwani na watoto wamekuwa saana as u see
haya  enjoy Familia ya Omotola toka NIGERIA......
 
 
 
UKIMUONA UNAWEZA UKADHANI NI MAMA WA WATOTO 4???jibu ni hapana  kiukweli unaweza ukazaa na bado ukajitunza na ukaonekana cute as u see her....isome hiyo wewe mama  ok.
 
 

No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates