kwa kupitia hizi picha pata kilichojiri kwenye MTV VMAs 2013, walichekesha,wapania na bila kusahau wanaojua kuvaa an kutupia piaaaa....ila kwa ufupi ni kwamba
Katy Perry, Lady Gaga and Miley Cyrus hao watatu waliweza kutawala jukwaa na kufanya yaooo.huku mzee mzima Justine Timberlake alifunika kwanai yeye ndiye aliondoka na Tuzo 4 bila kigugumizi.
Lil kim naye alikuwepo huyo mwenye mabuti ya njano hapo kushoto.
x-girlfriend wa Beiber..selena Gomez alifunikaaaa
Lady Gagaaa ni kapindaaa ama nia kanyongorota?
KATTY PERRY na stail yake hiyo kwenye stage
Miley Cyrus na stail hiyo
Bruno baby....alitwaa tuzo 2,
my RIRI kama kawaida kwa vituko ila angalia hiyo top imechanika shingoni hahaha Drama girl hakutupia saana but so classic as well love her.
wow that's my Bruno with his tuzo
ila kinara alikuwa ni huyu Timbelake tuzo 4 dadadeki..... hongera kazi nzuri zinasemaga tu sio maneno
Taylor Swift she looks so niceeee
Taylor Swift akiwa na Bruno mars
No comments:
Post a Comment