everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Thursday, November 21, 2013

Kendall Jenner na lothario Harry mwimbaji wa kundi la One Direction just a Diner tu walienda kupata sawa sawa...!

The princess Kendall Jenner kutoka kwenye reality Tv show ya Drama Family ya Kim Kardashian ambaye hivi juzi kati alitimiza miaka 18,inaonekana kama atafuata nyayo za Dada yake Kim Kardashian kwani hata kuna mfanano fulani umeanza kujionyesha kwa sasa angalia hizi picha hapa chini ambayo Kendall anafanana kabisa na kim...na picha za kuelekea kwenye Dinner hiyo na member huyo wa kundi la One Direction....hizi hapa  chini.

                                         huyu sio KIM ni Kendall Mdogo wake na Kim...mfanano huo.daah nice.



No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates