everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Monday, December 16, 2013

Best Friend wa Kim Kardashian ni mzuri anatupia na anashape kuliko Kim but.....

kiukweli ni kwamba unaweza kuwa best friend wa super star  lakini wewe ndo ukawa unatupia zaidi kuliko huyo star but huongelewi,na hata huangaliwi  haha na huku huyo star akivaa hata ndala tu na shati na hovyo hovyo inakuwa gumzo ila mara nyingi imeonekeana marafiki wa masuper star hao ni wakali kiumbo ,sura na hata kimavazi ila wanafunikwaa hahah coz sio mastar....
look at this Girl anadate pia Rapa wa huko NY ,like jay but she is not on the spot like kim....because kim is kim...hahah  na hata hapa bongo wengi wale wanaokuwa wabeba mapochi wa mastar au marafiki  wanaonekana wachafu ila sio hivyo ni jina tuuu ukiwa na jina kweli rahaaaa. ila huyo rafiki yake ni Demu wa TYGA rapa maarufu tu ila huyu dada na ameshamzalia mtoto mmoja na walikwa na mimba sawa na KIM na wamezaa wote siku moja ila .basi sawa ....enjoy hizi picha za huyu mwanadada best friend wa Kim K...she is lookn good more than Kim..but...Ndo vileeeeeeeeeeeee..




   huyu best frienda wa Kim anaitwa  Blac Chyna ni girlfriend ama  mpenzi wa TYGA na wanamtoto mmoja na mtoto wa Kim K..japo she looks like Nick minaj butu sio Nick...

No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates