everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Tuesday, February 25, 2014

RIHANA NA DRAKE WAKUTWA WAKIELEKEA KUPATA DINER MJINI PARIS ,ILA KIKUBWA ZAIDI NI KIATU NDO KIMENIVUTIA SAANA

mwanadada huyu Rihana ambaye hapo zamani alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Drake Before hawajaingia kuwa mastar ila badae ikaishia hivyo lakini inasemekana wapendanao hawaachan na ndo inavyoonekana hivyo kwa hawa2,kwani baada ya Rihana kujaribu saana bila mafanikio kuwa na mpenzi wake Cris Brwn  ila ikaishia mangumi but kwa sasa inasemekana lakini kuwa Drake na Riri Bad girl  kama wana uhusiano wa kisiriiii hivi..haya wacha movie iendeleeeee...!

ila kwa upande wa Fashion mimi Bond Girl ninavyopenda kuwa smart siku zote ....nilivutiwa na kiatu hiki cha Rihana ..ambacho ni Gold na sio kirefu saana yaani ni Classic,.....o.m.g...I like it...













No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates