everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Monday, August 18, 2014

Kloe Kardashian awashangaza watu kwa kuonekana akiwa ameshika Mto wa kulalia huko airpot.....

inasemekana kulala ni moja ya afya na inatakiwa kwa mwanadamu ambaye hujujali na kujipenda sasa mwandada Kloe aliamua kutoa kali kwa kutembea na mto wakati akiwa Airpot huku akiwa ameongozana na shemeji yake mume wa dada yao ambaye ndio wa kwanza kuzaliwa kwa familia ya KARDASHIAN..Anaitwa koutnery  kardashian..haya sleep beauty eeeh mpo?!






No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates