everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Wednesday, July 24, 2013

Gild The Throne! Kanye West and Kim Kardashian  wanunua choo cha kufalshi chenye thamani ya shilingi million  1,ambacho ni Dhahabu tupuuuuu  ni kwa ajili ya Nyumba yao Mpya ambayo  inategemewa kumalizika soon ndani ya wiki 2 na waweze kuhamia .



 
kweli Money Talk..... hiki ndo choo ambacho King na Queen  kanye west na kim watakuwa wakikitumia ndani ya Jumba lao kuuubwa ambalo linakaribia kuisha soon.
 
 
na hilo ndio Freezer ambalo lilinunuliwa   kwa shilingi million 1.pia ambalo litakuwa likipendezesha jikoni kwa KIM k..
 
 
 
kitanda ambacho kitalaliwa na wawili hao.
 
 
 na hii ndio sebule ambayo bado ipo kwenye matengenezo ya hapa na pale yaani haijakamilika so huenda ikabadilika muda wowote ila ndo itapatikana ndani ya Mjengo huo.
 
 
 
hii ndo nyumba ya KIM na KANYE ambayo inategemewa kuwa imemalizika ndani ya wiki 2 ili waweze kuhamia wawili hao...BABA NA MAMA NORTH......
 
 


chanzo cha  habari kinasema KIM AND KANYE  katika nyumba yao hiyo tegemea kuona  a hair and makeup salon, bowling alley, indoor and outdoor pool, basketball court, movie theater and custom gym.


cha kuongezea niiiiiiiii kwamba BABA KASEMAAAA

"The security system is being upgraded and Nori's nursery is being outfitted with surveillance cameras."




No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates