everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Tuesday, July 16, 2013

     Is This Really Kristen Stewart’s New Man???
 


Kristen Jaymes Stewartmwenye umri wa miaka23, ambaye ni muigizaji wa kike kutoka kule nchini American  ambaye wengi wetu tumemfahamu saana baada ya kucheza vizuri kwenye movie ya   Twilight Saga na humo alitumia jina la  Bella Swan .....

mwezi mmoja uliopita alionekana akiwa na bwana kaka ajulikanae kwa jina la  Pitt mwenye umri wa miaka 32,katika moja ya show ambayo walikuwa wakifuatilia huku wakionekana wamekaa kimahabamahaba..flani hivi!

the rumors has it....but .... As for Stewart, the only thing on her plate right now is work. She will  begin production soon on two films, "Sils Maria" and "Camp X-Ray." so sisi tunasubiria hizo movie maana mengine tumuachie baba na mamaaaaa...lol.

No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates