kanye west mwenye umri wa miaka 36 ambaye ni baba mzazi wa mtoto wa Kim Kardashian aliyepewa jina la North West azindua clothing line yenye maneno ijulikanayo kama A.P.C. ambapo zilipoingia sokoni kwa mara ya kwanza kule mjini PARIS zilionekana kuuza na kufanya vizuri zaidi kimauzo zaidi ya Albamu yake,
The nine-piece collection which consists of the essentials kama vile jeans, T-shirts, and hoodies zilipopelekwa sokoni jumapili asubuhi ilikuwa mida kama ya saa 4 kwa majira ya saa za kule mjini Paris na kwa mujibu wa wananchi ziliweza kuuzika fast zaidi japo kuna nguo kadhaa ambazo zilibaki na kurudi store but mauzo yalikwenda very well.
hizo ni baadhi ya nguo zinazopatikana kwenye hiyo collection ya A.P.C. ....good job Kanye but sorry kwani Albamu haikuweza kufanya poa saana kimauzo ila mkwanja unanjia nyingi u seeeeeee?!.
No comments:
Post a Comment