Nollywood Star Jim Iyke & His ‘BFF’ Nadia from Ghana waliamua
kushare hisia zao za kirafiki wa dhati katika mtandao wa kijamii wa
Twitter
waigizaji hao wawili walionekana wakiwa pamoja sehemu mbalimbali wakiwa kama mtu na mpenzi wake ila wao huitana ‘BFF’ lakinii inawezekana humo ndani ikawa na mapenzi ndani yake as well .
juzi
kati kupitia mtandao wa twitter Jim Iyke alimuwsiha BFF wake huyo kuwa
anamtakia kila la kheri katika uzinduzi wa filamu yake mpya BFF wake
Nadia toto la kiGhana.
angalia baadhi ya Tweet ambazo aliandika Jim Iyke juu ya BFF wake.
My gorgeous amazing #BFF @B5sNadiaBuari as u charter a new course on ur directorial debut on set of #DiaryOfImogenBrown. God bless ur hustle

“my soldier, my best friend, my biggest support Jim Iyke… Thank you for your support, I love you ***#WeAreTogther***”
basi sawa.....ni hayo tu toka Nollywood.
No comments:
Post a Comment