siku ya jana haikuwa nzuri kwani mshiriki wetu wa kiume kwenye nyumba ya BBA NANDO ALITOLEWA KABISA ni kutokana na tabia zake ambazo amekuwa akizonyesha humo na pili kubwa zaidi ni ile ya kushika na kunoa VISU na pia kuonekana kila mara akigombana anashika mikasi na kisu so bigie akaona asije leta matatizo hapo baadae kwani juzi ijumaa aligombana na mshiriki mwenzie ELIKEM ndipo akawa anaongea maneno machafu na mabaya juu ya mshiriki huyo mwenzie kuwa hastahili kuishi na mengineyo ,maneno hayo yalimtoka NANDO juu ya ELIKEM. so usiku wa jana ilikuwa ni simanzi na huzuni licha ya kwa watanzania tu bali kwa mchizi wake BIMP ambaye alikuwa anampenda yaani mwana kiselaa.
OH POOR TANZANIA tumebakiza mshiriki mmoja ambaye ni FEZA in the BBA
hii ndio ilikuwa siku wakigombana NANDO na ELIKEM na ndipo chanzo kikuubwacha kutoka kwa mshiriki wetu huyo.
ugomvi mbaya na pia mda mwingine usela ukizidi saana mhmh.....but anyways its the Game..
so please AFRICA vote for FEZA ili aweze kurudi na fedha hizo na kutuwakilisha vyema GOD BLES AFRICA GOD BLESS TANZANIA. AMIN...
No comments:
Post a Comment