everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Thursday, July 25, 2013

WILL.I.AM Adizainiwa Gari la kipekee na lenye Thamani kuubwa saana ya Shilingi $900,000 ambalo lilitengenezwa kwa Aluminium interior, Aluminium Dashboard and Door panels WELL DONE na Gari hilo lilitengenezwa na kampuni maarufu saana na yenye uwezo mkubwa unaoaminika iitwayo '   West Coast Customs, ila wengi mtakuwa mnaijua kupitia kipindi cha Xzibit ambacho kinakwenda kwa jina la   Pimp My Ride.


                                        gari lenmye rangi ya Blue ambalo ndio anamilikia msanii huyo .



akiwa anaelekea kupanda gari lake hiyo kwa ajili ya kuendelea na safari zake mara baada ya kumaliza kupata chakula cha usiki na msanii PSY mzee wa Gangamstyle.

 
 
WILL.I.AM akijiandaa kuingia kwenye Gari lake yaani anavituko ila na hela inachangia pia
 
 
 
 
NICE CAR......... nimependa na rangi yake saana .
 
 
 
 
 
 anajulikana kwa jina PSY ambaye ni mwanamuziki kutoka nchini Korea,na siku hiyo walikuwa wametoka kupata Dinner yeye pamoja na will.i.am ikiwa ni mojakati ya kufanya mazungumzo kwa ajili ya colabo yao ijayo ambayo itapikwa na wawili hao ebwaan daaah hebu pata picha juu ya uimbaji wa PSY na Will.i.am hahah yaani wako mbioni kufanya wimbo wa kushirikian hivi karibnuni tutausikia na kuona video pia so stay tuned...!

No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates