Mwandadda mapepe na mwenye kujiamini siku zoote kila anachokifanya hakosei na hajawahi kukosea jana jumatano alionekana akitembea mitaani mara baada ya kushuka kwenye gari lake la kifahari na kuelekea alikokuwa anaelekea hivi ndivyo alionekana akiwa ametupia na inasemekana na kuaminika kuwa huu ndo utakuwa muonekano wake mpya kwa sasa kwan ukiangalia nywele alishachange,kisha na anakuja na stail ya kuvaa Boyfriend jeans na top ambazo zinaacha wazi tumbo lake na piaa kutupia cheni ya Gold kiunoni na kutupia cheni ya gold shingoni,na mkononi na herein..huku akiwa ametupia Chanel Hat
na hivyo ambavyo amevaa Rihanna amesema kuwa kwa sasa anategemea kuzindua nguo zake ambazo ni kwa ajili ya wasichana wadogo na wa umri wake na hii ikiwa ni moja ya wazo ambalo alisema atalitimiza mara baada ya kuanza kupenda Fashion na ndipo anategemea kuzindua nguo zake hizo ambazo ameziita
River Island line ,ifikapo September 12.mwaka huu so kwa wasichana wapenda fashion,na kuwa smart u must to Get Rihanna Look soon.
No comments:
Post a Comment