everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Monday, August 18, 2014

hawajaachana Bado wanapendana na hawataachana wamesema Lol.

ule uvumi wa kuwa R&B SINGER Chris brown ameachana na mtoto mzuri Karrueche Tran,
  si kweli na hivi ndivyo walivyowafahamisha mashabiki wao na kuwakata ulimi wa uongo na umbea hivi juzi kati...walikuwa pamoja kwenye charity football game huko kwao hawa aaha watazame



hahahahahha wako na furaha kupita kiasi sasa muache kusema sema hovyo hovyo sawaa eeh?.lolest

  na hii hapa ndiyo picha ambayo ilikuwa ya kwanza kutupiwa na CB...wakiwa wanaelekea on the game..ilikuwa imetupiwa instagram ahaaaalaa...#

No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates