everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Wednesday, July 17, 2013

Free at last! Free at last! Kim Kardashian has finally started stepping out after a stir crazy month at home with newborn North...







wengi wetu tulimuona akiwa na ujauzito hadi alipofikia hatua ya kujifungua ndipo ikawa kama mwisho wa kumuona in public akishoo her pics anajulikana kama Kim Kardashian  ambaye alijificha na paparazi kwa muda wa wiki 4 yaani mwezi mmoja ndani kwa ajili ya kulea her  daughter North West, na ndo  ilikuwa kwa mara ya kwanza alitoka out na kutembea na mwanae huyo kwenye gari lake la kifahari .

kwa mujibu wa mtandao wa bossip.com imeelezwa kuwa  Kim was out and about in Southern California some time in the last few days,lakini alikuwa akijificha saana kuwaepuka paparazi lakini hakufanikiwa kwani waliweza kumfotoa baadhi ya picha inasemekana alikuwa na nanny wake alimaarufu kama beki 3 wake lakini licha ya kuzaa na kulea kwa muda huo wa mwezi mmoja bado kim alionekana so amazing, she really doesand  She is  dropped a lot of the baby weight already…not to say she still doesn’t have a ways to go, but she looked slim and was glowing.

lakini kwa upande wa mwanae kim hakuruhusu kabisa aonekane na paparazi kwani Kim and her helper kept a blanket over North’s car seat so nobody could catch a glimpse.

na elewa kuwa hii ndo kwa mara ya kwanza kabisa kwa kim kuonekana hadharani tangu pale alipojifungua mwanaye huyo  North ambapo ilikuwa ni june  15  mwaka huu.

     AM OUT.....!

2 comments:

Anonymous said...

Wow kweli wenzetu wapo mbele saana yaani she looks kama hajazaa vile..congrats to her

Anonymous said...

Wow been lookn aat ua blog since. Day one u opened it hongera ni nzuri saana maana unadeal na ishu za kimataifa zaidi nice maana blogs nyiing za kimbea mbea tuu but uaz its deferent saana nice job Mis Bond!

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates