everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Thursday, August 28, 2014

Angelina Jolie na Brad Pitt wafunga Ndoa Ya Siri France.

waliwili  hawa ambao kwa sasa Angelina ana miaka 39,na huku bwana akiwa na miaka 50...walidumu kwenye uhusiano kwa muda wa miaka 9 na wanawatoto 6 hadi sasa .

Habari zilizopo ni kwamba wamefunga ndo ya siri huko France  kwani hawakupenda iwe kuubwa kihivyo kama wao walivyo na ndio maana kwa sasa hazijapatikana picha  hizo za Harusi kwa sababu ilikuwa ni siri kabisa....
kwa sasa unaweza kuwaita MR. and Mrs  Pitt....

nakukuu maneno haya kutoka kwenye mtandao mmoja Nchini Marekani yalisema hivi " The wedding was held Saturday at Château Miraval in the village of Correns, where the couple first settled in 2008 and have since performed extensive renovations. The wine-growing estate has a 35-room main house, an ancient chapel and working vineyard spread over 1,100 acres."




















No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates