everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Friday, October 3, 2014

There Was Too Much Marriage Pressure! ajisemea jason Derulo

What happened … in a nutshell, there was a lot of tension in the relationship for a lot of different reasons. Every relationship has ups and downs. There was a lot of pressures of marriage. There was a lot of arguing and stuff like that that just weighed on our relationship over time. When you stop having more good times than bad bad times, it’s time to call it quits. It becomes something that is unhealthy," he explained.










Well imekuwa masikioni mwa wengi kila kona,engine wakasikitikaa saana juu ya mahusiano hay a kuvunjika lakini ukweli walikuwa wanaujua wawili HAWA Jordin sparks and jeson derulo,
Hatimaye baada ya ukimya WA kila mmoja wao kuendelea kukaa kimya,na kutokujali ukweli ni kuwa hawakuwa kimya makusudi ilaa Jason alikuwa bize anaandaa tour yake ya music,

Lakini akaamua kufunguka kwenye kituo kimoja cha radio huko mjini newyork,ya kuwa chanzo kilikuwa ni bibi Dada huyu kuuliza naolewa lini? So kumbuka ilikuwa ni wajibu WA Jordan speaks kuuliza na kutaka kujua ,kila Mara unakuwa ugomvi baina yao,kwani kumbuka wakati Jenson anataka mahusiano na jordin aliambiwa akaombe ruhusa kwa baba mzazi WA Jordan mzee speaks,ndipo akaenda jason  na kumuomba mzee kuwa anataka binti yake awe mchumba wake,ndipo akakubaliwa ,ilaa haikuwa kama alivyotegemea Jordan  maskini.


Hay a ni maneno ambayo alikuwa akijibu Jason derulo baada ya kuulizwa juu ya kuachana huku ..nimekopy kama yaliyo jisomee Napa .













No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates