everything around the world

follow me on instagram and on twitter @moshyenbond ..and @twitter its @moshyhabibu

Search This Blog

Thursday, November 27, 2014

reality v/s Instagram mhmh hutaamini angalia uone







anajulikana kama kitinda mimba wa familia ya Kardashian Kylie Jenner mwenye umri wa miaka 17 tu kwa sasa ambapo licha ya umri wake huo pia ameshafanya utengenezaji au upasuaji wa kurekebisha mdomo wake /lips yaani ili zilete mvuto kwani zile ambazo alizaliwa nazo hazikuwa na mvuto zilikuwa ndogo sasa alikuwa hajisikii kama yeye ni mrembo ndipo akaamua kufanya hivyo.
Licha ya kuzaliwa kwenye familia ambayo inavituko kibao ambavyo vituko hivyo ama Drama hizo zinawaingizia pesa kwa njia moja ama nyingi saana, imegundulika kuwa kuna apps ambayo anatumia kwa ajili ya kupost picha zake instagram yaani kuzipamba saana na kumfanya aonekane tofauti na picha ambazo zinakuwa za live yaani ukimuona na jinsi alivyopst on Instagram ni tofauti saana as you Can Seee.... 

ok for more follow me on Instgram/moshyenbond .....

No comments:

 

Sample text

Sample Text

Sample Text

 
Blogger Templates